Sababu wanawake kudanganya wakati wa tendo la ndoa
Kufika kileleni ni msisimko wa kipekee, unaoleta hisia nzuri kwa wenza wawili wanaowajibika kikamilifu katika tendo la ndoa. Hisia hizi hutokea kwa wenza ambao ni mke na mume wote kama ishara ya kufikia kilele cha tendo hilo adhimu ambalo ni sababu ya uumbaji. Hisia hizo huambatana na mtiririko wa matukio yanayohusisha mfumo wa fahamu (ubongo…