
Wawili wafariki, 18 wajeruhiwa ajali ya ndege
California. Watu wawili wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa baada ya ndege ndogo aina ya Van’s RV-10 kugonga ghorofa la kitega uchumi jijini California nchini Marekani. Ajali hiyo imetokea saa 8:09 mchana wa kuamkia leo Ijumaa Januari 3, 2025 baada ya ndege hiyo isiyo ya kibiashara, yenye uwezo wa kubeba watu wanne, kugonga jengo la…