Majaliwa awapa ujumbe viongozi wa dini
Manyara. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa dini nchini waendelee kukemea vikali vitendo vyote ambavyo ni kinyume na maadili ya dini na utamaduni wa Mtanzania. Majaliwa ametoa rai hiyo leo Jumapili Machi 9, 2025 alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kuwekwa wakfu na kutawazwa kwa Askofu wa Pili wa kanisa…