
Makonga, Kelvin waipa nguvu Mbeya City
KOCHA wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo ya jijini Mbeya iko katika mwelekeo mzuri, hasa baada ya kuwanasa aliyekuwa kipa wa Biashara United, Diey Makonga na mshambuliaji Mtanzania, Kelvin George aliyetokea AS du Port ya Djibouti. Akizungumza na Mwanaspoti, Mayanga alisema licha ya kikosi hicho kushika nafasi ya pili na pointi…