Mwinjuma Muumin: Simba wamuache Arajiga afanye kazi yake…. Amgusia Aziz Ki
Msanii wa muziki wa dansi, Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’ amesema baadhi ya mashabiki wa Simba na vigogo wa klabu hiyo wamekuwa na shaka na refa Ahmed Arajiga aliyeteuliwa kuwa mwamuzi wa kati wa mechi ya Simba na Yanga, jambo ambalo halina mashiko. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwinjuma amesema wasimtie presha mwamuzi Arajiga, wamuache achezeshe kwa…