Yanga yakomaa na Dabi, kupeleka timu Kwa Mkapa
Uongozi wa Yanga umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Simba leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uko palepale licha ya watani wao kutoa taarifa kuwa hawatocheza. Taarifa ambayo imetolewa na Yanga leo, Machi 8, 2025 imesema kuwa mchezo huo utachezwa kama kawaida kwa vile taratibu zimefuatwa. “Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma…