Mashabiki kama kawa kwa Mkapa, shabiki Simba ataka sheria kali
LICHA ya kugubikwa na sintofahamu ya kuchezwa mwa mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya wenyeji Yanga na Simba, mashabiki wa timu hizo wameendelea kujitokeza kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ilipopangwa kuchezwa mechi hiyo. Shabiki mmoja wa Simba aliyejulikana kwa jina la Elius amesema amesikitishwa na uamuzi uliochukuliwa na viongozi wa timu hiyo ya Msimbazi kugomea…