
MHE. PROF. MKUMBO AZINDUA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO MBULU
Mbulu-Manyara Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Kitila Mkumbo amekagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara. Akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo Januari 2, 2025, Mhe. Prof. Mkumbo amezindua na kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi Wodi…