Deus Seif aibua shangwe mkutano wa hadhara akitumia Kikagulu
Kongwa. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif, amelazimika kutumia lugha ya Kikagulu ili aeleweke wakati akiwaombea kura wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Seif amehutubia kwa Kikagulu jana, Septemba 7, 2025, katika mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa, Isaya Mngulumi katika Kata ya Chiwe, Wilaya ya…