
Danadana zagubika ununuzi mabasi ya mwendo kasi
Dar es Salaam. Danadana zimegubika ununuzi wa mabasi katika Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) chini ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) katika awamu ya kwanza na ya pili. Rais Samia Suluhu Hassan, alipotoa salamu za Mwaka Mpya kwa Watanzania Desemba 31, 2024 alisema katika mwaka 2025 miongoni mwa miradi itakayotekelezwa kwa uwekezaji kwa…