
Kikwete ataja kilichomsukuma kumteua Jaji Werema kuwa Mwanansheria Mkuu
Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema miongoni mwa sababu zilizomfanya amteue Jaji Frederick Werema kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na baadaye Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni pamoja na kutoa ushauri wenye masilahi ya Taifa. Kikwete amesema hayo leo Alhamisi Januari 2, 2025 wakati akitoa salamu za pole katika…