Hizi hapa Parokia 15 zilizomegwa Dar es Salaam kwenda Bagamoyo
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thadaeus Ruwa’ichi amezitaja Parokia zilizomegwa kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwenda Jimbo jipya la Bagamoyo. Parokia hizo ni, Madale, Tegeta, Mivumoni, Nyakasangwe, Bahari Beach, Mbopo, Ununio, Tegeta Kibaoni, Wazo Hill, Boko, Mbweni Mpiji, Mbweni JKT, Bunju, Mbweni Teta na…