ASKARI WALIOFANYA VIZURI WATUNUKIWA VYETI NA ZAWADI.
Na Issa Mwadangala Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Godfrey Chongolo amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia maadili na kufuata Kanuni na Sheria za nchi. Mhe. Chongolo ametoa pongezi hizo Machi 07, 2025 wakati akiwakabidhi vyeti vya sifa na zawadi kwa Wakaguzi na askari wa vyeo…