
Bondia aliyefariki ulingoni azikwa Dar
Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini Dar es Salaam. Mgaya alifariki Desemba 29, 2024 katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam kufuatia kupigwa kwa TKO na mpinzani wake Paulo Elias katika pambano lililofanyika usiku wa Desemba…