Kiini makandarasi wa kigeni kuchelewesha miradi

Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya miundombinu nchini wametaja sababu za makandarasi wa kigeni kutokamilisha miradi wanayopewa ikiwamo kutumia muda mrefu kutafuta wasaidizi wa bei nafuu. Jambo lingine ni makandarasi hao kutuma fedha zote za mradi kwao baada ya kukamilishiwa malipo, hatua ambayo huongeza mchakato wa malipo ya makandarasi wasaidizi na mafundi kwenye mradi…

Read More

SIMBACHAWENE AKIRI UWEPO WA CHANGAMOTO YA UKIKWAJI WA MAADILI IKIWEMO MGONGANI WA MASLAHI KATIKA SEKTA ZA UMMA.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe George Simbachawene amesema kuwa pamoja na jitihada zinazofanywa na Serikali lakini bado kuna changamoto ya ukiukwaji wa maadili katika sekta mbalimbali. Ambapo amesema changamoto hizo ni pamoja na matumizi mabaya ya madaraka, mgongano wa maslahi na ufujaji wa rasilimali za…

Read More

Haki za Womens zinakabiliwa na kushinikiza ambazo hazijawahi kufanywa – maswala ya ulimwengu

Ubaguzi wa kijinsia bado umeingizwa katika jamii na taasisi, kuanzia utawala, ripoti mpya ya wanawake wa UN hupata. Mikopo: Wanawake wa UN/James Ochweri. na Naureen Hossain (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Machi 06, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Mar 06 (IPS) – Wasichana na wanawake ulimwenguni wanakabiliwa na vitisho vinavyoongezeka kwa usalama…

Read More

‘Ziara bosi wa Unesco kuiletea neema Tanzania’

Unguja. Ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco), Audrey Azoulay imetajwa kuleta neema Tanzania kwa shirika hilo kuongeza utaalamu na msaada wa kifedha kusaidia maeneo ya urithi wa dunia. Tangu Machi mosi, Mkurugenzi huyo  amefanya ziara Tanzania bara na Zanzibar kwa kukutana na viongozi wakuu wa nchi…

Read More

Songo, wenzake kutibu mtihani huu JKT Tanzania

Mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema yeye na wenzake katika eneo la ushambuliaji wameshajua tatizo lililopo la ufungaji wa mabao ambalo benchi la ufundi limelifanyia kazi na sasa litapatiwa tiba. JKT Tanzania inashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na alama 27 katika michezo 22, ikishinda sita, sare tisa na…

Read More