IAA YAINGIA USHIRIKIANO NA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amekipongeza Chuo cha Uhasibu Arusha pamoja na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kuanzisha ushirikiano katika mafunzo ambayo yatalenga kuwa sehemu ya mkakati wa kuhakikisha kuwa maadili na uwajibikaji wa viongozi wa umma yanakuwa dhahiri na…