
Wadaiwa kuharibu gari la polisi mkesha wa mwaka mpya
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya vurugu na kuharibu gari la polisi lililokuwa likifanya doria usiku wa kuamkia Januari Mosi, 2025. Akizungumza leo Januari 2, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema tukio hilo lilitokea usiku wa Desemba 31, 2024 Mtaa wa Kiusa, Manispaa…