KWAYA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA WAPANGA KUKUSANYA MILIONI 50 KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA

Na Vero, Ignatus Arusha KWAYA ya Mtakarifu Rita wa Kashia katika Parokia ya Mtakarifu Yuda Tadei jijini Arusha imesema inahitaji kupata Sh.milioni 50 kwa ajili ya kununua vifaa vitakavyosaidia katika kuhubiri na kurahisisha huduma ya Uinjilisti. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo maalum wa Tawala Bwana,Prof. Joseph Ndunguru ambaye ni Mlezi wa kwaya hiyo amesema…

Read More

Kipa Yanga, Simba auwawa akidhaniwa mhalifu

WAKATI watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya HAINA KIPENGELE, kuna taarifa mbaya na ya huzuni kwa nyota wa zamani wa timu hizo mbili.  Huyu ni Mabruki Doyi Moke, kipa wa zamani wa Simba na Yanga aliyeishi kwenye mitaa ya Kariakoo kuanzia 1999…

Read More

Suluhisho kwa Kifua kikuu na VVU hufaidi sisi sote, Kaskazini na Kusini – Maswala ya Ulimwenguni

Ni muhimu kwamba Global South na Global North iendelee kufanya kazi kwa pamoja, kupata suluhisho kwa magonjwa haya ambayo yanaweka sehemu nyingi za jamii kuwa katika mazingira magumu. Mikopo: Shutterstock Maoni na Monicah Otieno (Princeton, New Jersey, USA) Alhamisi, Machi 06, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Princeton, New Jersey, USA, Mar 06 (IPS) –…

Read More

Machi 8 inavyochagiza fursa za kiuchumi Arusha

Arusha. ‘Mgeni njoo, mwenyeji apone.’ msemo huu unaelezea hali ilivyo jijini Arusha ambapo wageni kutoka maeneo mbalimbali wameanza kufurika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika hapa kitaifa, huku wenyeji wakinufaika na fursa hiyo. Maadhimisho hayo yatafanyika Jumamosi Machi 8, 2025 huku Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kuwa mgeni rasmi. Miongoni mwa…

Read More

RC SENYAMULE ATAKA MIRADI ISIYOKAMILIKA KUPEWA KIPAUMBELE.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MKUU Wa Mkoa Wa Dodoma Rosemary Senyamule Ameagiza Mamlaka zinazohusika na ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika Mkoa wa Dodoma kuhakikisha Miradi Isiyokamilika inapewa Kipaumbele Ili iweze Kukamilika Kwa Wakati. Pamoja na kuhakikisha kwamba barabara zinazounganisha wananchi kupitia Reli ya mwendo kasi kuwa sehemu ya kipaumbele hicho ili wananchi wafurahie mradi…

Read More