
Kilimanjaro Heroes ni ubingwa tu Mapinduzi Cup
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Heroes’ limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika Pemba, Zanzibar ni kutwaa ubingwa. Kocha wa Kilimanjaro Heroes, Ahmad Ally alisema kuwa pamoja na ugumu ambao watakutana nao katika mashindano hayo, watahakikisha wanacheza vyema katika mashindano hayo ili wamalize…