‘Wapambe’ Wa Riek Machar Wakamatwa Sudan Kusini – Global Publishers
Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar; huku wanajeshi wakiendele kuizingira nyumba yake katika mji mkuu, Juba. Naibu Mkuu wa Jeshi, Jenerali Gabriel Duop Lam, mpambe wa Machar, alikamatwa siku ya Jumanne, huku Waziri wa Mafuta,…