Ujue udanganyifu wa ‘Ponzi’ na chimbuko lake-1
Kwenye sekta ya fedha, kuna mifumo michache ambayo huleta hofu kwa wawekezaji na watu wa kawaida. Miongoni mwa mifumo hiyo ni “mfumo wa Ponzi.” Mfumo huo ulianza kujulikana karne ya 20 na uliitwa Ponzi kutokana na jina la Mwanzilishi ambaye aliitwa Charles Ponzi. Ponzi alizaliwa Lugo, Italia na akajulikana mwanzoni mwa miaka ya 1920. Aliwaahidi…