Mradi wa AGRISPARK kuzalisha vitabu vya elimu kwa wakulima na wafugaji
Na: Calvin Gwabara – Morogoro. Watafiti wa mradi wa AGRISPARK kutoka Chuo Kikuu caha Sokoine cha Kilimo SUA wameanza utekelezaji wa mpango wa uandaaji wa vitabu vidogo vyenye lengo la kutoa majibu ya changamoto mbalimbali za wakulima nchini kwa kuwapatia mafunzo wanafunzi watafiti watakaoshiriki kwenye kuandaa vitabu hivyo. Akifungua mafunzo hayo Mtafiti Mradi wa…