Ken Gold yabanwa Sokoine, mashabiki watawanywa na polisi

 Ken Gold imeshindwa kujinasua mkiani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mashujaa, huku mashabiki wa timu hiyo wakionekana kuvurugwa na matokeo hayo. Baada ya mchezo kumalizika, mashabiki walijikusanya katika geti kubwa wakionyesha  kutofurahishwa na matokeo hayo hadi Polisi walipowatawanya. Katika mchezo huo ambao umepigwa Uwanja wa Sokoine, Ken Gold ilionekana kuwa na…

Read More

Kulala mahabusu adhabu wanaopita barabara za mwendokasi

Dar es Salaam. Kwa wenye haraka wanaolazimisha kutumia barabara za Mabasi yaendayo Haraka (BRT) za mradi wa awamu ya kwanza wakikamatwa na polisi watarajie kutozwa faini, kulala mahabusu, kisha kufikishwa mahakamani. Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali na binafsi tayari wameshaadhibiwa kwa nyakati tofauti walipopita katika barabara za BRT Morogoro, Kawawa hadi Morocco. Adhabu…

Read More

BoT yaonya tena biashara ya upatu

Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba ametoa onyo kwa wanaojihusisha, kuendelea kufanya biashara ya upatu akisema shughuli hizo ni haramu kwani zinafanyika pasipokuwa na uwiano wa shughuli za kiuchumi. Tutuba anayasema hayo wakati baadhi ya watu wakitiwa nguvuni na Jeshi la Polisi kutokana na kujihusisha na biashara hiyo bila…

Read More

Tabora United yaipeleka JKT Tanzania CCM Kirumba

Siku tano baada ya Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kufungiwa, uongozi wa Tabora United umeuchagua Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa mechi yake ya nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, Machi 7, 2025. Taarifa ya Tabora United imefafanua kuwa timu hiyo inahamia CCM Kirumba huku uongozi wake ukiendelea na juhudi za kuuboresha Uwanja wa Ali…

Read More

Watano wawekewa vipandikizi maalumu kwenye uume

Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeweka vipandikizi maalumU kwenye uume (Penile Implantation), kwa wanaume watano wenye changamoto za nguvu za kiume. Huduma hiyo ilianzishwa Juni mwaka 2023, gharama yake ikiwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni, tofauti na nje ya nchi ambapo inatozwa hadi Sh50 milioni. Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa…

Read More

Mkakati mpya utakavyopunguza vifo vya watoto wachanga

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imezindua fomu mpya ya uandikishaji kwa watoto wachanga wanaolazwa ‘register’ ikiwa ni mkakati wa kupambana na vifo vya watoto wachanga. Kabla ya uwepo wa register hiyo, taarifa za watoto wachanga zilikuwa zikiandikishwa katika kadi la mama mjamzito au register za wagonjwa wanaolazwa ambao ni watu wazima, hivyo kukosa taarifa…

Read More