Sekta ya madini yaajiri Watanzania 19,000 tangu 2021
Dodoma. Watanzania 19,371 wameajiriwa kwenye kampuni za uchimbaji wa madini katika kipindi cha kati ya mwaka 2021/22 hadi Januari mwaka 2025. Hayo yamesemwa leo, Jumanne Machi 4,2025 na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Ramadhani Lwamo alipokuwa akielezea mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita na mwelekeo wa tume hiyo. “Tume ya…