Trump asitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine
Washington. Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza kusitishwa kwa msaada wote wa kijeshi kwa Ukraine siku chache baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, katika Ikulu ya White House. Hatua hiyo imekuja baada ya mkutano wa faragha kati ya viongozi hao wawili, ambapo Trump anadaiwa kumpa Zelensky sharti la kukubali…