BENKI YA STANBIC YABORESHA HUDUMA ZAKE ZA PRIVATE BANKING KWA WATEJA WA MBEYA, YATOA SULUHISHO MAALUMU ZA KIFEDHA KWA WAMILIKI WA BIASHARA.

Benki ya Stanbic yafikisha huduma zake za Private Banking kwa wateja wa Mbeya, Yawafikia watu wenye ukwasi mkubwa na wamiliki wa biashara kwa ushauri wa kipekee wa usimamizi wa mali, uwekezaji, na suluhisho za kifedha zilizo lenga mahitaji yao. · Upanuzi wa kimkakati jijini Mbeya unalenga mazingira yake imara ya biashara, ukiwapa wajasiriamali, wawekezaji, na…

Read More

Akutwa amefariki ndani, mlango umefungwa kwa kufuli

Shinyanga. Wande Mbiti (38), mkazi wa Kitongoji cha Busalala, Kijiji cha Nhelegani, Kata ya Kizumbi, mkoani Shinyanga, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi huku mlango wa nyumba hiyo ukiwa umefungwa kwa kufuli kwa nje. Tukio hilo limebainika jana, Jumapili, Machi 2, 2025, saa saba mchana baada ya wakazi…

Read More

Anza Wiki na Maokoto ya Maana Meridianbet

Je unajua Jumatatu ya leo unaweza kuondoka na mkwanja wa maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet?. Suka jamvi lako la ushindi na uondoke na kibunda cha mkwanja sasa. Kombe la FA kule Uingereza raundi ya 5 litaendelea kwa mchezo mkali leo hii kati ya Nottingham Forest vs Ipswich Town. Kwenye ligi vijana wa Nuno…

Read More

Watano wafariki ajali ya basi la AN Classic

Dodoma. Watu watano wamefariki dunia na wengine 49 kujeruhiwa baada ya basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Kigoma la AN Classic kuligonga lori kwa nyuma na kuanguka katika eneo la Chigongwe jijini Dodoma. Akizungumza leo Machi 4,2025 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishina Msaidizi Mwandamizi,  Anania  Amo amesema kuwa …

Read More

WAKULIMA WANEEMEKEA NA ZAO LA KAHAWA,WASEMA MIKOPO YA PEMBEJEO IMEWASAIDIA KULIMA KWA TIJA

Na Mwandishi Wetu,Ruvuma WAKULIMA wa zao la kahawa wanaohudumiwa na Chama cha Msingi cha Ushirika KImuli Amcos kata ya Utiri Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma, wamefanikiwa kuzalisha tani 105,986.95 za kahawa zilizowaingizia zaidi ya Sh.bilioni 14,022,174,698.40 kuanzia Msimu wa kilimo 2021/2022 hadi 2024/2025.Katibu wa Chama hicho Aron Komba amesema,katika msimu 2021/2022 wakulima walizalisha tani 548,551…

Read More

Upepo wawaliza wafuga majongoo bahari, kaa

Unguja. Wakati Serikali ikihamasisha wananchi kujikita kwenye ufugaji wa kaa na majongoo baharini ili kujikwamua kiuchumi, wafugaji hao wameeleza changamoto ya upepo kuwarejesha nyuma katika jitihada hizo. Wafugaji wa kaa na samaki kutoka Chwaka, wamesema upepo unawaathiri na kuharibu miundombinu yao. Wametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Machi 3, 2025, wakati mkuu wa kitengo cha ufugaji…

Read More

SHACMAN AND CFAO MOBILITY IN COLLABORATION TO STRENGTHEN INDUSTRIAL AND LOGISTICS SECTORS IN TANZANIA

CFAO Mobility Tanzania has officially launched Shacman trucks distributorship in the Tanzanian market, reinforcing the country’s growing need for durable and high-performance heavy-duty vehicles. The launch event, held on February 27, 2025 at The Green Grounds in Oysterbay, Dar es Salaam, was graced by the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Industry and Trade,…

Read More

‘Vijana msibweteke, tumieni fursa’

Unguja. Wakati Serikali ikiendelea kuboresha sera na kujenga vituo vya ustadi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Fatma Mabrouk Khamis, amewahimiza vijana kutumia fursa zinazotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao. Akizungumza leo Jumatatu Machi 3, 2025, katika mahafali ya kituo cha mafunzo ya vijana huko Unguja,…

Read More