Wastaafu watarajiwa wapewa mbinu kabla ya kustaafu kazi

Unguja. Imebainika kuwa ili mstaafu aishi maisha mazuri baada ya kustaafu, anahitaji angalau asilimia 70 ya mapato aliyokuwa akipata kabla ya kustaafu. Kutokana na hilo, wataalamu wanashauri kuwa maandalizi yanapaswa kuanza kati ya miaka 20 hadi 30 kabla ya kustaafu, kwa kuwekeza katika biashara walizokuwa na ndoto nazo. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Machi 3, 2023 na…

Read More

Ithibati ni muhimu kwa tasnia ya habari – Waziri Prof. Kabudi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (kulia) akizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (Journalists Accreditation Board-JAB) na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Tido Mhando (kulia) leo Machi 3, 2025 jijini Dar es Salaam.Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba John Aidan…

Read More

Wakenya watatu wahukumiwa miezi mitatu jela

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu raia watatu wa Kenya kulipa faini ya Sh1 milioni kila mmoja au kwenda jela miezi mitatu baada ya kutiwa hatiani kwa makosa la kuingia nchini na kufanya kazi ya ushonaji bila kibali cha ukazi. Waliohukumiwa ni Selemani Mohamed (23), Sheban Mdune (23) na…

Read More

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua NBC Kiganjani, Ahimiza Taasisi Za Fedha Kuoanisha Mifumo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw Kassim Majaliwa amezindua rasmi huduma za kidijitali za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) inayofahamika kama ‘NBC Kiganjani’ huku akitoa wito kwa mashirika na taasisi za fedha nchini kuhakikisha zinaboresha mifumo ya huduma za kielectronic kwa kuoanisha mifumo baina ya taasisi hizo. Alisema hatua hiyo itarahisisha…

Read More

Serikali yasema ujangili bado ni changamoto nchini

Dodoma. Ujangili wa wanyamapori Tanzania bado ni changamoto inayoilazimu Serikali kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana nayo ikiwamo kuanzisha vikosi kazi vya ardhini, majini na angani. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana amesema hayo leo Jumatatu, Machi 3, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanyamapori Duniani. Amesema mbali na mafanikio yaliyopatikana katika uhifadhi wa…

Read More