Airpay yakabidhi Vishkwambi zitakavyotumiwa na ZEEA katika usajili, uombaji mikopo kidijitali
KAMPUNI ya Airpay imekabidhi vishkwambi kwa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) ili viweze kutumika katika usajili na uombaji wa mikopo kwa njia ya kidijitali. Airpay na ZEEA kwa kushirikiana na taasisi nyingine za kifedha imetengeneza mfumo wenye lengo la kuwarahisishia wajasiriamali wa Zanzibar kupata mikopo kidijitali hivyo uwepo wa vishkwambi hivyo vitarahisisha shughuli hiyo….