Dk Biteko: Rais Samia kawapaisha wanawake sekta ya madini
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kufungua fursa za kuwawezesha wananchi kiuchumi ikiwa ni pamoja na kutilia mkazo ushirikishaji wa wanawake katika uchimbaji wa madini wenye tija. Dk Biteko amesema hayo jijini Dar es Salaam juzi aliposhiriki kongamano maalumu kuelekea maadhimisho Siku…