
Huyo Pacome gari limewaka | Mwanaspoti
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua gari limewaka, amerudi kwenye ubora wake akifunga na kufanya balaa, huku akifunguka kuwa kwa namna walivyo fiti habari ya mtu kupigwa nyingi ni kikombe ambacho kila timu inaweza kukipitia. Pacome ambaye ni kama hakuanza msimu vizuri, hivi karibuni ameonekana kurejea katika fomu aliyokuwa nayo msimu uliopita kwa kutoa asisti na…