Ukraine ‘isahau’ kujiunga na NATO – Global Publishers
Huwezi kuamini lakini ndivyo ilivyo kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ukraine isahau kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), tamko ambalo ni pigo kwa Ukraine ambayo katika azma hiyo awali iliungwa mkono na Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden.Katika mkutano na waandishi wa habari juzi, Trump…