Dakika 21 za Ikangaspeed Yanga
YANGA imejipigia Pamba Jiji kwa mabao 3-0 ikiendelea kujitanua juu ya msimamo wa Ligi Kuu Bara, lakini mashabiki wa timu hiyo wamekata kiu baada ya kumuona staa mpya, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ kwa mara ya kwanza. Ikangalombo aliyesajiliwa na Yanga kupitia dirisha dogo la usajili hakuwahi kucheza mchezo wowote huku utetezi mwingi ukitoka kwa makocha…