TANZANIA NA MSUMBIJI ZAFANYA KIKAO CHA UJIRANI MWEMA KUDUMISHA UHUSIANO
Mabalozi wa Serikali za Tanzania na Msumbiji wamefanya kikao cha ujirani mwema kilicholenga kudumisha uhusiano wa kiuchumi baina ya nchi hizo mbili. Kikao hicho kimefanyika Leo Februari 27,2025 katika mkoani Mtwara kikiangalia namna ya kuimarisha vikao vya ujirani mwema kwa nchi hizo mbili na kudumisha uhusiano pamoja na kukuza uchumi kwa mkoa na wananchi kwa…