2025
Mashirikiano PURA, ALNAFT kuimarisha ufanisi wa utendaji
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli ya Nchini Algeria (ALNAFT) kwa lengo la kujadili mashirikiano yatakayowezesha, pamoja na mambo mengine, kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo katika eneo la udhibiti wa shughuli za utafutaji na uzalishaji wa mafuta na…
Wafanyabiashara wa Oman Watembelea Mkoa wa Pwani Kujionea Shughuli za Viwanda na Biashara
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fursa za uwekezaji kati ya Tanzania na Oman katika sekta mbalimbali. Ujumbe huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara na Viwanda Mkoa wa Al Wusta na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chama cha…
BODI YA WAKURUGENZI WA TAIFA GROUP YAZIDI KUWEKA WAZI MCHAKATO WA UNUNUZI WA HISA ZA MAKAMPUNI YAKE YA TANCOAL NA WDL
Wanaochafua taswira ya kampuni kuchukuliwa hatua za kisheria
BALOZI DKT. NCHIMBI APOKEA BARUA YA MKAZI WA BUKOBA MJINI MWENYE ULEMAVU WA MIGUU.
MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula. Dk.Nchimbi yuko mkoani Kagera ambako amewasili tangu jana na leo Septemba 7 ameendelea na mikutano ya kampeni ya kuomba kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea…
Tanzania kushuhudia kupatwa kwa mwezi leo usiku
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kuwa usiku wa leo, Septemba 7, 2025, wananchi wataushuhudia mwezi ukipatwa kwa muda wa takriban saa sita. Kwa mujibu wa TMA, tukio hilo litaanza kwa kupatwa kwa sehemu ya mwezi mara baada ya jua kuzama na kuendelea hadi saa 2:29 usiku. Baada ya hapo,…
Paresso, Awack watupilia mbali tofauti za kisiasa, wasaka kura za Samia
Karatu. Wabunge waliomaliza muda wao, Cecilia Paresso (Viti Maalumu, Arusha) na Daniel Awack (Karatu), wamesema hawana tofauti binafsi, bali ushindani uliokuwapo awali ulikuwa wa kidemokrasia kwa lengo la kuwatumikia wananchi. Kauli hizo zimetolewa leo Jumapili, Septemba 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Mang’ola. Paresso amesema mwaka 2020 aligombea ubunge wa Karatu kupitia Chama…
WAFANYABIASHARA WA OMAN WATEMBELEA MKOA WA PWANI KUJIONRA SHUGHULI ZA VIWANDA NA BIASHARA
::::::::: Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fursa za uwekezaji kati ya Tanzania na Oman katika sekta mbalimbali. Ujumbe huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara na Viwanda Mkoa wa Al Wusta na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chama…
NRA yaahidi mashine za EFD bure kwa wafanyabiashara
Tabora. Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketiya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Almas Kisabya, amesema endapo atapata ridhaa ya kuliongoza Taifa, ndani ya siku 30 baada ya kuunda Baraza la Mawaziri, kipaumbele chake kitakuwa kuhakikisha mashine za kukusanyia mapato (EFD) zinatolewa bure kwa wafanyabiashara wote nchini. Kisabya amesema hayo leo Jumapili, Septemba 7, 2025,…
Mwago wa Chaumma aahidi shule kila mtaa Mbagala, mikopo kwa vijana
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hadija Mwago, ameahidi kubadilisha sura ya elimu kwa kujenga shule moja katika kila mtaa wa jimbo hilo, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani na kuhakikisha watoto wanapata elimu bora karibu na makazi yao. Ametoa kauli hiyo leo,…