Wimbi la vijana ‘wanaojibusti’ sasa balaa jijini Dar
Dar es Salaam. Tatizo la nguvu za kiume limeendelea kusumbua vijana nchini. Wakati baadhi wakitajwa kutumia za asili ambazo hazitambuliwi na mamlaka, baadhi yao imegundulika kuja na mbinu mpya ya kununua dawa za kawaida kwenye maduka ya dawa, huku wakibadilisha matumizi yake. Kwa mujibu wa uchunguzi wa siku kadhaa wa Mwananchi, dawa zilizobainika kutumika zaidi,…