Minziro: Hatuhitaji kuchoma sindano kucheza mechi ngumu
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ amesema kutokana na upana wa kikosi chake na ubora wa kila mchezaji baada ya usajili wa dirisha dogo hawahitaji kuwachoma sindano baadhi ya wachezaji kuwalazimisha wacheze hata pale wanapokuwa na uchovu ama majeraha. Miinziro ametoa kauli hiyo akizungumzia maandalizi ya timu ya Pamba kabla ya kukabiliana na…