Nyota Outsiders azigonganisha nne | Mwanaspoti
BAADA ya Stein Warriors, JKT, Savio na ABC kuibuka na kuitaka saini ya nyota wa UDSM Outsiders, Tryone Edward, mwenyewe amefunguka anachoangalia ni masilahi tu, kwake kambi popote, huku nyota mwenzake Josephat Petar akimaliza mkataba wake. Timu mbalimbali zitakazoshiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), zinaendelea kujiweka sawa kwa kusajili nyota wapya,…