Arajiga, wenzake waula FIFA, wapewa mechi ya Algeria
Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kuchezesha mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia baina ya Botswana na Algeria utakaochezwa Francistown, Botswana Machi 21, 2025. Mara ya mwisho Arajiga kuchezesha mechi za kimataifa ilikuwa ni Januari 19, 2025 ambapo alichezesha mchezo wa Kundi B wa Kombe…