Tanzania na Malawi zakubaliana kuhamishiana wafungwa
Dar es Salaam. Katika kuendeleza ushirikiano muhimu wa kidiplomasia, nchi za Tanzania na Malawi zimesaini hati ya makubaliano kwenye sekta ya afya sambamba na mkataba wa kuhamisha wafungwa. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje, makubaliano hayo yamesainiwa Februari 26, 2025 wakati wa Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPCC) kati…