Bocco aukubali mziki wa Mzize, Ateba
NAHODHA wa zamani wa Simba na Taifa Stars ambaye kwa sasa anakipiga JKT Tanzania, John Bocco amemtaja Leonel Ateba (Simba) na Clement Mzize (Yanga) kuwa ni wachezaji halisi wa kati wenye uwezo wa kumiliki mpira na kufunga. Bocco amesema Ateba ana uwezo mkubwa wa kufunga, kumiliki mpira na kulimiliki eneo la mbele vizuri kwa kujitegemea…