Bandari Dar na rekodi ya kuhudumia meli kubwa
Dar es Salaam. Baada ya mageuzi ya huduma yaliyochochea ufanisi katika uendeshaji wa bandari, hatimaye Bandari ya Dar es Salaam imeanza kupokea na kuhudumia meli kubwa zenye urefu wa hadi mita 300. Hatua hiyo inakuja baada ya uwekezaji katika sekta ya bandari uliolenga kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa kituo kikuu cha kuhudumia shehena…