Sh1.4 bilioni kukwamua soko lililokwama kwa miaka 10 Mara
Tarime. Serikali imetoa zaidi ya Sh1.4 bilioni kukamilisha mradi wa ujenzi wa soko la kimkakati la kimataifa la mazao ya kilimo katika eneo la Sirari mkoani Mara, ambapo ujenzi wake ulikwama kwa takriban miaka 10. Soko hilo linalotarajiwa kunufaisha wafanyabiashara wa mazao ya kilimo zaidi ya 300 linatajwa kuwa mwarobaini wa changamoto zinazowakumba wafanyabiashara hao….