DC SAME AKERWA NA USIMAMIZI MBOVU WA MRADI WA MAJI
Na Ashrack Miraji – Michuzi blog Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, ameonesha kukerwa na usimamizi wa mradi wa maji unaotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) katika Kata ya Kisiwani, wilayani humo. Licha ya serikali kutoa shilingi milioni 720 kwa ajili ya mradi huo, bado haujanufaisha walengwa,…