Siri imefichuka… Hapa ndiyo jeuri ya Yanga ilipo
KUNA kitu Yanga inakifanya kwa sasa, ikipambana kuhakikisha kwamba inaikamata rekodi ya Simba ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara nne mfululizo katika miaka ya karibuni, kabla haujahamia Jangwani kwa misimu mitatu iliyopita. Kazi kubwa inafanyika katika kipindi ambacho benchi la ufundi la timu hiyo likiwa chini ya kocha mpya, Hamdi Miloud, lakini haijaleta…