Golugwa ataja sababu za kuhojiwa na Polisi
Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa leo amefika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufuatia wito wa Polisi uliotolewa kwake na Jeshi hilo jana. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Februari 25, 2025 baada ya kupata taarifa kuwa…