Maajabu kijana wa Kitanzania aliyebuni mfumo wa AI
Dar es Salaam. Wengi wanaoitaja Tanzania kuwa ina utajiri wa rasilimali, huorodhesha vitu kama vile, ardhi, vito vya thamani, uoto wa asili na vinginevyo. Wanachosahau ni kuwa nchi hiyo kubwa zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki, ina rasilimali watu wanaokuna vichwa vyao barabara. Katika orodha hiyo, yumo kijana Noel Sebastian (24) mkazi wa Gongolamboto, Dar es…