Tatizo ni Zidane achomoa bao jioni, Mpanzu…
MASHABIKI wa Simba walikuwa wakihesabu dakika ili kuanza kushangilia ushindi wa 17 katika Ligi Kuu Bara, baada ya chama lao kuongoza kwa mabao 2-1 hadi dakika ya 87, lakini mambo yalitibuka sekunde chache tu baada ya mtokea benchi, Zidane Sereri kuchomoa bao katika Dabi ya Mzizima. Zidane aliyeingia uwanjani kumpokea Idd Seleman ‘Nado’ alifunga bao…