Dkt. Samia Aweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umwagiliaji la Mkomazi korogwe,
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umwagiliaji la Mkomazi lililopo wilayani korogwe, mkoani Tanga tarehe 24 Februari 2025 na kuzungumza na wananchi ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake mkoani humo. Amesema Dhamira ya Serikali ni kumuinua mkulima…