Upelelezi kesi ya kumiliki kobe 116, bado ‘kiza’
Dar es Salaam. Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi katika kesi ya kuongoza genge la uhalifu na kumiliki kobe 116 inayowakabili watu wanane wakiwemo maofisa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere( JNIA) pamoja na raia wa Ukraine, haujakamilika. Wakili wa Serikali, Gloria Kilawi ameieleza Mahakama leo Jumatatu Februari 24,…