Medo avunja ukimya kutimuliwa Kagera Sugar
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Kagera Sugar, Melis Medo anayedaiwa kutemwa na timu hiyo kutokana na matokeo mabaya iliyonayo katika Ligi Kuu, amevunja ukimya kwa kuandika kilichomuondoa ndani ya timu hiyo inayochungulia shimo la kushuka daraja ikishika nafasi ya 15 kati ya timu 16 za ligi hiyo. Kocha huyo raia wa Marekani inaelezwa amepigwa chini saa…